Chelsea imekamilisha usajili wa kiungo wa kati wa Uingereza Morgan Rogers kutoka Aston
Villa kwa ada ya uhamisho iliyovunja rekodi ya Uingereza ya pauni milioni 117.
Rogers alirejea kutoka Marekani Jumatatu, baada ya kuichezea Uingereza kwenye
Kombe la Dunia, na kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu jijini London. Alitisaini
mkataba wa miaka sita na timu hiyo ya blues na ana chaguo la mwaka mmoja zaidi.
Arsenal ambao hawakuweza kufikia ofa ya Chelsea wanafikiria wachezaji mbadala,
ikiwa ni pamoja na Bradley Barcola wa PSG na Junior Kroupi wa Bournemouth.
Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Nyahururu, Nyeri na Nanyuki.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.