Rais wa Chama cha mawakili nchini LSK Charles Kanjama anasema kususia kesi mahakamani kote nchini kunalenga kusukuma mfumo safi na mzuri wa haki, uwajibikaji na mahakama isiyoingiliwa na watu wa nje. Kanjama anasema mawakili wanatumia haki zao za kikatiba kugoma na kuondoa huduma, na kuwa wataomba kuahirishwa tu na sio kuendelea na vikao.

CHARLES KANJAMA – DEFENDS