Mipango ya kufadhili kikamilifu elimu ya juu katika taasisi za umma imetajwa kuwa isiyo ya kweli. Mkurugenzi wa Usawa Agenda Emmanuel Manyasa anasema serikali tayari inadaiwa na vyuo vikuu takriban KSh bilioni 29 kama madeni, akionya kwamba pendekezo hilo linaweza kuzidisha shinikizo la kifedha kwa taasisi hizo.
EMMANUEL MANYASA – FUNDING