Serikali imeanzisha hatua za maandalizi ya kitaifa kabla ya msimu unaotarajiwa wa El nino, ikionya kwamba mvua hiyo kubwa inaweza kusababisha mafuriko, maporomoko ya ardhi na watu kupoteza makao katika maeneo yaliyo hatarini. Msemaji wa serikali Isaac Mwaura alisema mfumo wa kukabiliana wa mashirika mengi unaounganisha wizara za serikali za kitaifa, serikali za kaunti na washirika wa maendeleo tayari upo.
ISAAC MWAURA – INTERVENTIONS