Mbunge wa Teso Kaskazini Oku Kaunya amewahimiza vijana kushirikiana kwa njia ya kujenga na viongozi wao na kujiepusha na kutumiwa kusababisha machafuko. Mbunge huyo aliwasihi vijana kuendelea kuwa macho huku nchi ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao.



OKU KAUNYA – VIJANA