Familia ya wakili wa Mahakama Kuu aliyeuawa Edward Muthee yataka vyombo vya usalama kuharakisha uchunguzi kuhusu kifo chake. Wakili huyo alifariki kutokana na jeraha kubwa kutoka nyuma ya kichwa chake huku madaktari wakisema hakuwa na nafasi ya kuishi.


VOX POP - FAMILIA