Wizara ya Afya imeahidi kuwapa uungaji mkono kamili wahudumu wote wa afya walio mstari wa mbele katika kupambana na Ebola kote nchini. Katibu wa Afya ya Umma, Mary Muthoni, aliwashukuru wahudumu hao wa afya kwa kuhatarisha maisha yao ili kuwalinda Wakenya, na kuwahakikishia kuwa masuala yao kuhusu vifaa vya kujikinga vifaa vya usalama yanashughulikiwa kwa haraka.


MARY MUTHONI – SUPPORT