Kocha Mkuu wa Harambee Stars, Benni McCarthy, ana imani kuwa timu hiyo itafanya vizuri dhidi ya wenyeji Guinea katika mechi yao ya wa pili wa kufuzu kwa AFCON 2027 utakaofanyika Conakry usiku huu. McCarthy anaamini wanaweza kudhibiti uwezo binafsi wa wachezaji wa wapinzani kwa kuepuka makosa ya ulinzi. Stars, ambao tayari wamefuzu kwa michuano hiyo kama wenyeji, walitoka sare ya 1-1 dhidi ya Eritrea, na kocha Benni McCarthy atakuwa akisaka ushindi wake wa kwanza katika Kundi D. 

Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Makindu, Voi na Mariakani.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.