Waziri Mkuu MusaliaMudavadi amewahakikishia Wakenya na washirika wa kidiplomasia kwamba serikali imejitolea kwa Uchaguzi Mkuu wa 2027 salama, huru na wa amani. Akizungumza jijini Nairobi alisema mamlaka zinaimarisha taasisi huru, ikiwa ni pamoja na IEBC, ili kuimarisha demokrasia na kuhakikisha uchaguzi unaoaminika. Taasisi imara, aliongeza pia zinahakikisha mifumo bora ya utawala kwa Wakenya.
MUSALIA MUDAVADI - BUILD