OCS wa Lumakanda anayeshtakiwa kwa kumnajisi msichana wa miaka 14 katika Kaunti Ndogo ya Lugari anatarajiwa kujua hatima yake ya dhamana leo. Jana, afisa huyo mkuu, anayekabiliwa na mashtaka mbadala ya kufanya kitendo cha aibu na mtoto mdogo na matumizi mabaya ya ofisi, alifika mbele ya Hakimu Mkaazi Mkuu Dorcas Mac'andere, ambapo upande wa mashtaka ulipinga kuachiliwa kwake, ukitaja uzito wa madai hayo.
Advertisement
October 1, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 8AM 22ND OCT 26
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing