Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, amedai kuwa utawala wa Rais William Ruto ulijaribu kumnunua baada ya kifo cha kiongozi wa zamani wa ODM, Raila Odinga. Akizungumza wakati wa ibada ya kanisa huko Siaya, Kalonzo alisema alichagua kuabudu huko Bondo ili kuheshimu kumbukumbu ya Raila. Pia alisema anaweza kuwa nje ya nchi wakati wa kumbukumbu ya Raila katikati ya mwzi ujao.

KALONZO MUSYOKA – BABA