Katibu wa Mambo ya kigeni, Korir Sing’oei, ametoa wito wa kufanyika kwa mageuzi ili kushughulikia ukosefu wa usawa duniani, tofauti za kiuchumi, na migogoro inayoathiri Afrika, akisema kuwa hatua hizi ni muhimu katika kurejesha imani miongoni mwa nchi za bara hili. Akizungumza katika Mkutano wa 'Trust Summit', Sing’oei pia alikosoa sheria za kimataifa za enzi ya kabla ya ukoloni kwa kushindwa kuzingatia ipasavyo maslahi ya nchi zinazoendelea wakati wa kipindi cha ukoloni.

KORIR SINGOEI-TRUST