Rais wa Mstaafu Uhuru Kenyatta ametoa rambirambi kwa kiongozi wa chama cha PLP Martha Karua, kufuatia kifo cha babake, Mwalimu Jackson Karua. Katika ujumbe wake Uhuru alimwelezea marehemu Mwalimu Karua kama mtu ambaye maisha yake yalitawaliwa na uongozi unaozingatia kanuni, kujitolea katika elimu, maadili imara na upendo kwa familia yake. Alisema kuwa maadili, hekima na mwongozo wa Mwalimu Karua vimeacha urithi wa kudumu ambao utaendelezwa kupitia watoto wake, wajukuu na watu wengi ambao maisha yao yaliathiriwa vyema naye.
Advertisement
September 28, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing