Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja na Mkurugenzi wa DCI Mohamed Amin wamefika katika Mahakama ya Milimani kwa ajili ya kusikilizwa kwa hoja za kupunguza adhabu, baada ya kupatikana na hatia ya kuidharau mahakama. Uamuzi huo unahusu uwekaji wa vizuizi wakati wa maandamano ya hivi karibuni, jambo ambalo mahakama ilibaini kuwa lilikiuka amri za mahakama zilizokuwepo.