Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka anasema urithi wa marehemu Raila Odinga unaathiriwa na unapaswa kulindwa. Akizungumza wakati wa ibada ya kanisa huko Bondo, Kaunti ya Siaya, Kalonzo alikosoa matamshi ya hivi karibuni kuhusu Raila kama "Mradi," akisema hapaswi kuingizwa kwa mashindano ya kisiasa ya sasa. Aliandamana na viongozi wa upinzani Eugene Wamalwa, JB Muturi na Raphael Tuju.

KALONZO MUSYOKA – LEGACY