Je, umewahi kununua mahindi au nduma za kuchemshwa zikiwa zimefungawa kwenye mfuko wa plastiki, au kuona na mahindi yaliyofunikwa kwa njia hiyo? Mtaalamu wa lishe Lilian Duta anasema kuwa joto kutoka kwa chakula hicho linaweza kusababisha kemikali za plastiki hiyo kuingia kwenye chakula, jambo linaloweza kuathiri homoni za mwili kinapoliwa.
LILIAN DUTA - PLASTIC