Usafi mzuri wa mikono, matumizi ya sanitizer na kuepuka kusalimiana kwa mkono na watu walioambukizwa kunaweza kusaidia kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa Mpox. Mtaalamu wa afya Onyimbo Kerama anasema virusi hivyo huenea kupitia mguso wa ngozi kwa ngozi na kushiriki matandiko na watu walioambukizwa. Wizara ya Afya inasema Mpox bado ni tishio nchini Kenya, huku Mombasa ikirekodi viwango vya juu vya maambukizi.


ONYIMBO KERAMA - HYGIENE