Hadi asilimia 90 ya wagonjwa wa Mpox hupata dalili zisizo kali kama vile vipele vya ngozi, maumivu ya koo, kuvimba kwa tezi za limfu na maumivu ya kichwa. Mtaalamu wa afya Onyimbo Kerama anasema dalili hizo zinaweza kudhibitiwa kwa dawa kama vile paracetamol, huku akiongeza kuwa si vipele vyote vya ngozi ni ishara ya Mpox. Anasema takriban asilimia 10 ya wagonjwa wanaweza kutoonyesha dalili zozote.

ONYIMBO KERAMA - SYMPTOMS