Kampuni ya Kenya Airways imemteua Habil Waswani kama Kaimu Mkurugenzi Mtendaji na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi kufuatia kujiuzulu kwa Kapteni George Kamal kutoka nafasi hiyo. Wasani, ambaye ni Katibu wa Kampuni ya shirika hilo la ndege na Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria, atachukua nafasi hiyo kuanzia Septemba 15. Kamal alijiuzulu kutoka nafasi yake kwa sababu za kibinafsi, lakini atabaki na shirika hilo kwa kipindi cha mpito cha siku 30 kabla ya kuondoka rasmi Septemba 30.
Advertisement
September 2, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 9AM 2ND SEPT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing