Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amewaonya wanasiasa dhidi ya kuingilia IEBC, akiwashutumu baadhi ya viongozi kwa kujaribu kuchukua nafasi za wagombea, wanakandarasi na waamuzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Murkomen alisema haikubaliki kwa wanasiasa kushambulia tume ya uchaguzi hadharani huku wakitaka kushawishi jinsi inavyotekeleza majukumu yake.

KIPCHUMBA MURKOMEN - STICK