Naibu Rais Kithure Kindiki amewapa changamoto viongozi wa Upinzani wanaotaka kushindana na Rais William Ruto katika Uchaguzi Mkuu wa 2027 kuwasilisha Manifesto zao zilizo wazi na kuuza sera zao kwa Wakenya. Akizungumza huko Kapseret, Kaunti ya Uasin Gishu, Kindiki alisema ushindani wa kisiasa unapaswa kutegemea mawazo, sera na rekodi za maendeleo badala ya kuingilia taasisi huru kama vile IEBC.
KITHURE KINDIKI - SHINDANA