Beki wa Kakamega Homeboyz, Portiphar Odhiambo, anatarajiwa kujiunga na Gor Mahia FC, ambapo ataungana tena na nahodha Sylvester Owino. Wawili hao walicheza pamoja hapo awali  Kakamega Homeboyz na Vihiga Bullets. Wakati huo huo, wachezaji sita wa Ulinzi Starlets; Cindy Ngaira, Lavender Akinyi, Joy Kinglady, Tabitha Amoit, Mary Ojenge, na Phiona Ariko walifuzu kutoka chuo mafunzo ya jeshi jana.




Jua linashuhudiwa Makindu, Mtito Andei na Makina.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.