Mshambuliaji wa zamani wa Gor Mahia, Chris Ochieng’ anakaribia kukamilisha uhamisho wake kwenda klabu ya Ligi Kuu ya Tanzania, Kagera Sugar FC siku chache tu baada ya kutambulishwa na Murang’a SEAL FC. Ochieng’ alivutia sana wakati wa mechi ya kirafiki wa hivi majuzi kati ya Murang’a SEAL na Kagera Sugar ambao ulimalizika kwa sare ya bila kufungana. Uchezaji wake ulivutia umakini wa klabu hiyo ya Tanzania ambayo sasa imempa mkataba. Wakati huo huo, Seal wamekataa ombi la uhamisho kutoka Kagera kwa ajili ya mchezaji mpya aliyesajiliwa, Nashon Alembi.
Jua linashuhudiwa Mchakos, Kibwezi na Kitui.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya tradiojambo.