Rais William Ruto amepuuza makundi ya kisiasa yaliyo na ukabila, akisema wapiga kura watawachagua viongozi kulingana na rekodi yao ya maendeleo. Akihutubia wakaazi wa Eldoret, Rais Ruto aliwataka Wakenya kukataa siasa za kikabila na kukumbatia umoja wa kitaifa, akisema mustakabali wa nchi unategemea viongozi na raia kuweka maslahi ya kitaifa juu ya masuala ya kikabila na kisiasa.

WILLIAM RUTO - UNITY