Wakulima wanashauriwa kusawazisha uzalishaji wao kwa kukumbatia utofauti wa mazao badala ya kutegemea zao moja. Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe anasema kupanda aina mbalimbali za mazao hupunguza hatari ya kifedha kutokana na mabadiliko ya soko, huboresha afya ya udongo, na hujenga ustahimilivu bora dhidi ya hali ya hewa isiyotabirika.
MUTAHI KAGWE - DIVERSIFICATION