Vifo vinavyojirudia vya watu katika ulinzi wa polisi vinaweza kuhusishwa na kushindwa kubadilisha kikosi cha polisi kuwa huduma ya polisi kama inavyotakiwa na Katiba. Wakili Ekuru Aukot anasema maafisa wengi huacha mafunzo wakiwa na mawazo yanayotegemea nguvu, wakishindwa kukumbatia utawala bora na kuheshimu haki za binadamu.

EKURU AUKOT - BRUTALITY