Mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku amejiunga na timu ya Fenerbahce ya Uturuki akitokea Napoli. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 alipambana na majeraha msimu uliopita na alicheza mechi saba pekee katika mashindano yote kwa timu hiyo ya Serie A. Mfungaji huyo wa rekodi wa Ubelgiji anarudi Uturuki ambapo aliishi msimu wa 1996-97 wakati baba yake Roger alipokuwa akicheza kitaaluma katika klabu ya Super Lig ya Genclerbirligi (GENCHEBIALI). Ada na urefu wa mkataba wa Lukaku haujawekwa wazi. Licha ya msimu uliopita kupata majeraha, mshambuliaji huyo wa zamani wa Chelsea, na Manchester United alifunga mabao matatu katika Kombe la Dunia la msimu huu wa joto.
Jua linashuhudiwa Meru, Isiolo na Marsabit.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.