Kuzinduliwa kwa Ruwaza ya mwaka 2060 kumekosolewa kwa kukosa uwakilishi mpana wa nchi. Mtaalamu wa utawala Alex Manyasi anasema mchakato unaojumuisha wote ni muhimu ili maono hayo yapate kukubalika na kufanikiwa. Pia anatoa wito wa uungwaji mkono wa kisheria ili kuhakikisha utekelezaji wake.


ALEX MANYASI – INCLUSIVE