Serikali imetetea punguzo la asilimia 2 kutoka kwa madai ya SHA ya hospitali, ikielezea kama ada ya huduma kwa ajili ya usindikaji na kuwezesha malipo. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Afya ya kidiijitali Anthony Lenaiyara alisema fedha hizo zinaunga mkono mifumo ya kidijitali inayowezesha kushughulikiwa kwa madai kwa ufanisi huku ikihakikisha Wakenya wanaweza kupata na kusimamia rekodi zao za afya.
ANTHONY LENAIYARA - DIGITISE