Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amewahakikishia wafuasi wa upinzani kwamba atafanya kazi na kiongozi wa Wiper KalonzoMusyoka kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Sifuna alisema tofauti zake ndani ya ODM zilianza baada ya kupinga hatua za kuachana na maadili yaliyotetewa na Waziri Mkuu wa zamani marehemu RailaOdinga. Alisisitiza kwamba upinzani lazima ubaki na umoja kabla ya uchaguzi wa 2027.
EDWIN SIFUNA - KALONZO