Mkurugenzi Mtendaji wa Hazina ya Hustler, Henry Tanui, anasema kuwa Hazina hiyo imetoa Sh bilioni 90 kwa zaidi ya Wakenya milioni 28. Tanu anasema kati ya wateja milioni 28 waliosajiliwa, milioni 10 ni wakopaji wa mara kwa mara, akifichua zaidi kwamba zaidi ya Sh bilioni 76 zimelipwa na kilichobaki ni Sh bilioni 13.7. Rais William Ruto ameelezea mpango huo kama uingiliaji kati muhimu wa serikali ili kupanua ujumuishaji wa kifedha na kusaidia ukuaji wa biashara ndogo, na za wastani.


WILLIAM RUTO - LISTED