Kiongozi wa chama cha ODM Oburu Oginga amepuuza madai kwamba muungano na UDA unaweza kudhoofisha au kunyonya chama chake, akisisitiza kwamba ODM ilijiunga na serikali pana kutoka nafasi ya nguvu. Alisema ODM ilijiunga na serikali ili kuzuia mabadiliko ya kisiasa kupitia maandamano na kuhakikisha kwamba mamlaka hubadilika kupitia kura. Alisema muungano huo umejengwa juu ya kanuni za kidemokrasia na ujumuishaji, kuhakikisha kwamba hakuna sehemu ya nchi inayoachwa nyuma.


OBURU OGINGA - WEAK