Wanasiasa wa Linda Mwananchi katika Kaunti ya Bungoma wamemhimiza Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kuhakikisha usalama wa kutosha wakati wa mkutano wao uliopangwa kufanyika Homa Bay wikendi hii. Wakizungumza huko Bumula, wakiongozwa na wabunge Jack Wamboka na Majimbo Kalasinga walisisitiza kwamba usalama wao na wa wafuasi wao lazima uhakikishwe wakati wa mkutano huo.


MAJIMBO KALASINGA - ISSUES