Wanasiasa wanaounga mkono harakati ya Linda Mwananchi katika Kaunti ya Bungoma wamempa changamoto Msajili wa Vyama vya Siasa kusajili rasmi chama hicho kama chama cha siasa. Wakihutubia vyombo vya habari huko Bumula, wakiongozwa na wabunge Jack Wamboka na Majimbo Kalasinga walionya kwamba watapiga kambi nje ya ofisi za Msajili, ikiwa ni pamoja na kukaa siku kadhaa huko, hadi matakwa yao yatakaposhughulikiwa.
MAJIMBO KALASINGA - NAME