Huduma ya Kitaifa ya Polisi inasema Jopo kazi maalum limeanzishwa ili kukabiliana na ongezeko la matumizi ya wahuni wa kisiasa walioajiriwa kabla ya Uchaguzi Mkuu. Msemaji wa polisi Muchiri Nyaga alisema timu hiyo, yenye makao makuu ya DCI, itaunda mifumo ya kukabiliana na tatizo la uchochezi. Aliwasihi Wakenya kuunga mkono juhudi hizo, akisisitiza kwamba kuhakikisha jamii salama kunahitaji uwajibikaji wa pamoja.

MUCHIRI NYAGA - MAPPING