Rais William Ruto anasema juhudi zake za kuunganisha nchi zilianza mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2022. Akizungumza wakati wa hafka chini ya serikali pana huko Naivasha, Rais alisema aliwasiliana na kiongozi wa zamani wa ODM, marehemu Raila Odinga, licha ya kushindana naye katika kura za maoni. Aliwasihi viongozi kuweka kando tofauti za kisiasa na kufanya kazi pamoja kwa ajili ya umoja wa kitaifa.
WILLIAM RUTO – UNITY