Maafisa wa kliniki wameapa kuendelea na mgomo wao licha ya kaunti 29 kati ya 47 kutia saini CBA na chama chao cha wafanyakazi. Mwenyekiti wa Chama chao, Peter Washira, anasema hatua hiyo haitoshi kukomesha mgomo huo, kwani madai mengine bado hayajatatuliwa, ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa CBA, mapitio ya marupurupu ya hatari na kuingizwa kwa wafanyakazi wa UHC.
Read Also
PETER WASHIRA – CONTINUE