Naibu Rais Kithure Kindiki ameapa kusukuma umoja katika eneo la Mlima Kenya, akisema yuko tayari kulipa gharama yoyote inayohitajika ili kuiweka jamii pamoja. Kindiki alizungumza jana huko Murang'a, ambapo aliwasihi wakaazi kupinga mgawanyiko wa kisiasa na kudumisha sauti ya umoja wa kikanda. Alisema tofauti za kisiasa hazipaswi kuruhusiwa kuharibu umoja wa jamii katika eneo hilo.
KITHURE KINDIKI - DEFEND