Gavana wa Murang’a Irungu Kang’ata anasema harakati ya Linda Mwananchi inayoongozwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna itakuwa nguvu kubwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kang’ata anasema wanasiasa ambao watakaokosa kujiunga na harakati hiyo wana hatari ya kupoteza viti vyao, akisema kwamba ushawishi wake miongoni mwa wapiga kura unaweza kuathiri matokeo ya uchaguzi wa mwaka ujao.
IRUNGU KANG’ATA – SIFUNA