Gavana wa Samburu Jonathan Lelelit amezitaka jamii za wafugaji kudumisha amani licha ya kupungua kwa maji na malisho kutokana na ukame unaoendelea. Akizungumza wakati wa mbio za amani za NDMA za kilomita 10 katika Archers Post, alizitaka jamii za Samburu, Borana, Meru na Turkana kuishi pamoja kwa amani kwa kushiriki ardhi ya malisho na maeneo ya maji bila migogoro.
JONATHAN LELELIT - CHOKOZANA