Gavana wa Nakuru Susan Kihika ametoa wito wa utulivu na ukomavu wa kisiasa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao. Akizungumza wakati wa hafla inayoendelea ya viongozi waliochaguliwa chini ya serikali pana huko Naivasha, Kihika alionya dhidi ya siasa za mgawanyiko, akiwahimiza viongozi kuweka umoja wa kitaifa na maslahi ya Wakenya juu ya tofauti za kisiasa huku nchi ikijiandaa kwa uchaguzi wa 2027.

 

SUSAN KIHIKA – ELECTIONS