Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua sasa anadai kwamba polisi wawili wanaohusishwa na mauaji ya mtafiti Victoria Mutiso walikamatwa na baadaye kuachiliwa kwa amri kutoka kwa maafisa wakuu wa usalama wa ndani. Akizungumza huko Kiambaa, Kaunti ya Kiambu, Gachagua aliishutumu DCI kwa kuficha kuhusika kwa maafisa wa kulinda sheria katika mauaji hayo ya Julai 29. Alimtaka DCI kueleza wazi kuhusu suala hilo ili kuhakikisha familia ya marehemu inapata haki.

RIGATHI GACHAGUA - JUSTICE