Gavana wa Homa Bay Gladys Wanga anasema muungano wa Azimio ulikoma kuwepo baada ya ODM kujiondoa. Wanga anasema kwamba juhudi za kufufua muungano huo kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027 haziwezi kufanikiwa, akisema vyama vilivyobaki vya ushirika havina nguvu ya kisiasa ya kuuendeleza.


GLADYS WANGA – AZIMIO