Huku familia ya Maureen Nduku mwenye umri wa miaka 44 ikidai haki baada ya kufariki kutokana na majeraha ya risasi yaliyotokana na operesheni ya usalama ya Gikomba, jamaa na watetezi wa haki za binadamu wanashinikiza mamlaka kutoa majibu ya haraka kuhusu kutoweka kwa risasi kutoka kwa mvulana mwenye umri wa miaka 16 aliyejeruhiwa kutokana na tukio hilo hilo.
VOX POP - JUSTICE