Babake Lionel Messi, Jorge, amefariki akiwa na umri wa miaka 68 kufuatia kuugua kwa muda mrefu. Jorge, ambaye pia alikuwa wakala wa mshambuliaji huyo wa Argentina tangu alipokuwa na umri wa miaka 14, alifariki hospitalini katika mji wa Rosario, Argentina, mapema asubuhi ya jana. Baada ya uvumi kuhusu afya yake wakati wa Kombe la Dunia, familia ya Messi ilitoa taarifa ikisema alikuwa akikabiliwa na "hali inayohusiana na afya" lakini haikufichua hali yake.
Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Nairobi, Kajiado na Narok.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.