Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya amewahimiza jamii ya Waluhya kuungana kisiasa wakati wa mkutano wa Linda Mwananchi huko Kakamega Natembeya amemtaka Waziri wa Ushirika Wycliffe Oparanya kuzuia mgawanyiko wa jamii, akidai kwamba Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna anatosha kuwakilisha maslahi yao.
GEORGE NATEMBEYA – UNITY