Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua amepuuza madai ya mgawanyiko ndani ya upinzani, akiwahimiza wafuasi kuwa wavumilivu huku viongozi wakitafuta makubaliano kuhusu mgombea wa urais kwa Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara huko Ngatataek Kajiado Central, ambapo viongozi wa eneo la Maa walinena tamko lililolenga kuimarisha mshikamano wa kisiasa, Gachagua alisisitiza umoja kabla ya uchaguzi.

RIGATHI GACHAGUA – DIVISION