Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino amewaonya wanasiasa dhidi ya kutumia wahuni kuvuruga mikutano ya upinzani, akisema vitisho hivyo havitasimamisha shughuli zao zilizopangwa. Akizungumza katika mazishi ya aliyekuwa kiongozi wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ufundi cha Mombasa Elvis Otieno huko Awasi, Owino aliapa kwamba upinzani utaendelea na mkutano ujao wa Linda Mwananchi huko Homa Bay.
BABU OWINO – GOONS