Vyuo vikuu na taasisi za TVET zimehimizwa kukumbatia AI katika shughuli zao ili kuboresha usimamizi wa fedha, kuimarisha uwajibikaji na kurahisisha mahitaji ya kuripoti. Wadau wa elimu wanasema AI tayari inazisaidia taasisi kuandaa taarifa za fedha haraka kwa kuunganisha e-citizen na kuwawezesha kuhifadhi rekodi zao za fedha.
VOX POP – AI