Chama cha mawakili LSK kimetishia kuitisha mgomo wa mawakili wa kitaifa ambao unaweza kuvuruga shughuli za mahakama, kikitaja ufisadi unaoendelea, ucheleweshaji katika utoaji wa haki, na ukosefu wa uwajibikaji ndani ya Mahakama. Wakiongozwa na Rais wa LSK Charles Kanjama, mawakili jana walisusia kesi mahakama kote nchini kupinga kile walichokielezea kama kuongezeka kwa utendakazi duni na kushindwa kwa kimfumo katika utoaji wa haki.

CHARLES KANJAMA – JUDICIARY